MHE. KAIRUKI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI TANZANIA
Balozi wa Ufaransa
nchini Tanzania Bi. Malika BARAK akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb)
(hayupo pichani) kuhusu Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (OGP)
alipomtembelea Waziri huyo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb)
akipitia nyaraka zilizowasilishwa naBalozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika BARAK alipomtembelewa na
balozi huyo ofisini kwake.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akisisitiza jambo kwa Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika BARAK
(kulia) mara baada ya kupokea nyaraka kutoka kwa balozi huyo.
No comments:
Post a Comment