Monday, November 28, 2016

MHE. KAIRUKI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akibadilishana mawasiliano na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (kulia) alipomtembelea ofisini kwake

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (wa kwanza kulia) akifurahia jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipomtembelea ofisini kwake 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (wa kwanza kulia) alipotembelewa na balozi huyo ofisini kwake

No comments:

Post a Comment