Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Mifumo na Viwango vya Utendaji Kazi kutoka
Ofisi ya Rais - Utumishi, Bi. Veila Shoo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa
Mifumo na Viwango vya Utendaji Kazi kwa Wajumbe kutoka katika Wakala mbalimbali
za Serikali katika ukumbi wa Wakala za Serikali katika kikao kilichofanyika
ukumbi wa Wakala kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) leo. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa
Kazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Mick Kiliba na kushoto ni Mtendaji Mkuu wa
Wakala ya Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), Bw. Dominic Rwekaza.
|
No comments:
Post a Comment