Kaimu
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Naibu Balozi
Msafiri Marwa akizungumza na Wataalam wa Kujitolea kutoka Shirika
la Kimataifa la Maendeleo la Japani (JICA) (hawapo pichani) katika hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao ambao watafanya kazi
katika maeneo mbalimbali nchini kwenye sekta za Elimu, Afya na Maendeleo ya
Jamii, hafla iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi.
|
No comments:
Post a Comment