Saturday, October 29, 2016

SERIKALI YAKANUSHA ‘UVUMI KUWA, WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS - UTUMISHI NA UTAWALA BORA MHE. ANGELLAH J. KAIRUKI (MB) NA KATIBU MKUU, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA DKT. LAUREAN NDUMBARO WAMESEMA SUALA LA UHAKIKI LIPO JUU YA UWEZO WAO



3 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. tunaomba tamko lako sasa mheshimiwa ni lini mchakato wa ajira utaendelea na kama hautakuwepo kabisa tujulishwe pia

    ReplyDelete
  3. mheshimiwa waziri katika menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora, napenda tena kuchukua nafasi hii kujua, leo hii nimemsikia rais wetu katika mkutano wake na waandishi ya kua swala la ajira lililositishwa kwa miezi miwili kwamba limekwisha na watu wanaendelea kuajiriwa japo wewe ulisema mpaka zoezi la uhakiki liishe. Sasa mbona bado hatujarudishwa kazini mpaka sasa, na je ni lini sasa mtatoa tamko rasmi kwa waajiri wetu ili tuweze kurudi kazini?

    ReplyDelete