Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (kulia) akichangia hoja kuhusu uwajibikaji ndani ya Utumishi wa Umma wakati wa kipindi cha TUNATEKELEZA kilichoandaliwa na Runinga ya Taifa (TBC-1). Wanaomsikiliza ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) na Muongoza kipindi Bi. Eshe Muhidin (kushoto). |
No comments:
Post a Comment