Monday, February 1, 2016

DAWATI LA MSAADA (HELP DESK)


143 comments:

  1. Kuna tatizo kubwa wakati wa kujisajili kwenye portal. Nashindwa kuingia kwenye watumishi portal.

    ReplyDelete
  2. Nimekosea email nataka kubadili ili niweze kujisajili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habar msaada mm ni mwanachana ambaye nisahau email pamoja na passwod nimetumia email hii ili niweze kusaidiwa check no 9508484 naomba msaada kupitia email hii

      Delete
    2. nmesahau my password msaada plz process inakuwaje kuipata

      Delete
    3. i forgotten my password i tried to call through 0262160000 but no reply, please i am in need of salary slip. i need your help

      Delete
  3. Nimekosea email nataka kubadili ili niweze kujisajili

    ReplyDelete
  4. kuna tatizo kubwa wakati wa kujisajili kwani sms ya kuhakiki account haijatumwa mpaka sasa. tunaomba msaada wenu kwani ni siku ya saba toka nijisajili.

    ReplyDelete
  5. ALOYCE GALLUS NINDI
    NILIOMBA KUBADILI PASSWORD KIMAKOSA KWANI PASSWORD YANGU NI ILEILE nindi1961 BAADA YA OMBI HILO LA KUBADILI PASSWORD KIMAKOSA KUNA TATIZO KATIKA KUHAKIKI ACCOUNT

    ReplyDelete
  6. Nimeenda kuomba mkopo Benki ya Crdb nimeambiwa kuwa watumishi tulioko kwenye mashirika ya umma majina ya uhakiki hayajapelekwa kwenye taasisi za fedha hivyo hawawezi kunipa mkopo naomba kujua suala hili tunasaidiwaje sisi watumishi

    ReplyDelete
  7. Nimeenda kuomba mkopo Benki ya Crdb nimeambiwa kuwa watumishi tulioko kwenye mashirika ya umma majina ya uhakiki hayajapelekwa kwenye taasisi za fedha hivyo hawawezi kunipa mkopo naomba kujua suala hili tunasaidiwaje sisi watumishi

    ReplyDelete
  8. Asanteni sana Utumishi wa Umma nimepata taarifa kuwa majina ya watumishi walio hakikiwa mmpeleka kwenye taasisi za fedha

    ReplyDelete
  9. nimejisali lakini wananambia mmenitumia email kwa barau pepe angu lakini sijapata hadi sasaa

    ReplyDelete
  10. Nimejisajili utumishi portal lakini nikijaribu kuingia kunaujumbe unaniambia ni hakiki kwakubofya kitufe kwenye barua pepe.sion huo ujumbe. Msaada ktk hili.

    ReplyDelete
  11. Nimejisajili ila usajili wangu haujakamilika kwakuwa niliambiwa nitatumiwa no kwenye email yangu ili nikamilishe usajili, cha kushangaza hadi leo sijatumiwa hizo no wala sms yoyote kwenye email yangu, hivyo imepelekea kushindwa kuingia na kupata huduma. Wahusika Naomba msaada wenu

    ReplyDelete
  12. Nimejisajili kwenye huduma hii ya watumishi portal ila usajili wangu haukukamilika kwasababu niliambiwa nitatumiwa namba kwenye email yangu ili niziingize nikamilishe usajili. Cha kustaajabisha ni kwamba tangu mwanzoni mwa mwez huu July hadi sasa cjatumiwa Hiyo namba na cwez kuingia kupata huduma. Wahusika nisaidieni kwa hilo.

    ReplyDelete
  13. Tataizo langu ni kama la wengi hapa, nimejisajili na nimeambiwa nitapata ujumbe katika email mpaka sasa sijapata, naambiwa tembelea email yako kukamilisha usajili sasa nifanyeje

    ReplyDelete
  14. Mimi nauliza mbona salary slip ni zile zile tu za mwezi wa NNE ??? Mimi nataka ya mwezi wa kumi nifanyeje???

    ReplyDelete
  15. Jamani mimi ni Mwalimu na Tatizo langu ni kuwa, SIJAWAHI KUPANDA DARAJA TANGU NIANZE KAZI 2005 HADI LEO NI MIAKA 12 NIKO TGTS B. NAOMBA KUSAIDIWA HILI NI AJBU NA KWELI!!! Niko Bunda Mji. 0787 271 147/ 0756 271 147.

    ReplyDelete
  16. MIMI NAITWA MWALIMU SAJIDU ATHUMAN BASHIRI MWENYE CHECK NO.110917995 NIMEJIUNGA NA HUDUMA YA WATUMISHI PORTAL NILIKUWA NAHITAJI SALARY SLIP LAKINI IMEGOMA BADALA YAKE INANNAMBIA 0 RESULT CROSS CHECK YOUR CHECK NO.NA MIMI NINA UHAKIKA SIJAKOSEA CHECK NAMBA NA HATA KUEDIT INAGOMA ILI NIONE KAMA NILIKOSEA.NAOMBA MSAADA WENU.

    ReplyDelete
  17. Nimesajili ila kila nikitaka kuingia kwenye akaunti yangu naambiwa mpaka nithibitishe kupitia barua pepe yangu.na nikifungua barua pepe sioni chochote .ninaomba msaada

    ReplyDelete
  18. nimekosea email ya kujisajilia baada ya stephanoegra nimeweka sterhaniegra

    ReplyDelete
  19. naomba msaada wa kuiondoa cheki namba yangu au mnibadilishie email

    ReplyDelete
  20. email yangu ni stephanoegra@gmail.com kwenye kujisajili nimekosea nimeweka sterhaniegra

    ReplyDelete
  21. naomba kujua kama umesahau passwords na email unafanyaje

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nikiingiza password inaandika invalid,Naomba msaada

      Delete
  22. nilijisajili kwa email ya francis.taab@mem.go.tz ambayo ilijumuisha wizara ya nishati na madini, kutokana na kutenganishwa kwa sasa, email hiyo haifanyi kazi, hivyo naomba kusajili upya kwa email nyingine ili niweze kuendelea kupata huduma zenu.

    ReplyDelete
  23. Nilikosea e-mail wakati najisajili inasomeka 'nyambakiokwadha@gmail.com.com' hizo .com zimejirudia Mara mbili. Nawezaje kurekebisha ili nitumie ukurasa huu? Asante

    ReplyDelete
  24. NimeingizNimekuta jina langu limekosewa. Nikijaribu kuingia tena siwezi. Hata nikijaribu kujisajili upya siwezi

    ReplyDelete
  25. Mimi mwl.Geofrey Alexander Mujuni cheque no. 110725205, nakatwa mshahara wangu na bodi ya mikopo ya elimu ya juu, bila wao kunipa mkopo wakati nasoma.
    4/2016 wakati nasoma chuo kikuu walianza kukata nikapewa barua na bodi ya mikopo ya kuacha na sasa 4/2018 wameanza tena, naomba mnisaidie wasinisumbue tena maana hawakuwahi kunipa mkopo wao wakati na soma.Wanayafanya maisha yangu ya utumishi yanakuwa magumu. +255687942401

    ReplyDelete
  26. nilijisajili utumishi portal kitambo, sasa inakataa kwa password na email ile ile

    ReplyDelete
  27. Nimeandika barua ya matatizi yangu mbona naona kimya, wkt niliombwa namba nimetuma sioni majibu

    ReplyDelete
  28. Nimepanda daraja tangu 2014 mshahara ukabadilika 2015 sijalipwa arrears zangu mpaka leo

    ReplyDelete
  29. Naomba msaada nikiingia kwenye account yang naambiwa cjahakiki account na nikiingia kwenye email yangu sion SMS nilotumiwa

    ReplyDelete
  30. Naomba namba ya benki ya rita nilipie kuhakiki cheti body ya mikopp

    ReplyDelete
  31. Nmeomba kubadiri password imekubali ila nikiingiza kwenye salary sleep inakataa

    ReplyDelete
  32. Sawa

    Je! Unahitaji mkopo? Tunatoa kila aina ya mkopo kama mkopo wa deni, mkopo wa biashara, mkopo wa matibabu, mkopo wa nyumbani, mkopo wa mwanafunzi kiwango cha riba ya 1.5%.

    Wasiliana nasi leo kupitia barua pepe kwa usaidizi wa kifedha: easyloanfirm2020@gmail.com

    Kila la heri
    Derek Douglas

    ReplyDelete
  33. Nina miaka 6kazini cjawahi kupandishwa daraja naomba msaada mbona shida hiii,wenzangu kwingine tulio ajiliwa wote washapanda










    Sijawahi kupandishwa daraja toka niajiliwe ni miaka 6 sasa naomba msaada haki yangu jamani

    ReplyDelete
  34. Mimi mwl mbaruku s. Ntebwe mwenye check no. 111925003 wa babati, manyara nilijisajili na watumishi portal lakini asaiv kila niktaka kuingia inagoma na kuambiwa email au password sio sahihi, naomba msaada katka ilo

    ReplyDelete
  35. Mimi Mwl Alphonce Stephan Shayo mwenye check no.110591061 wa Liwale -Lindi , nilijisajili vizuri mara ya kwanza na watumishi portal lakini saivi kila nikijaribu kuingia password sio sahihi, kila nikijaribu njia ya Forgot password nayo haileti mrejesho wowote, nikijaribu kufungua account ingine inakataa inaniambia tayari nimeshajisajili. Naomba msaada katika hilo nahitaji nizipate hizo salaryslip ili niweze kamilisha baadhi ya mihamala. Asante

    ReplyDelete
  36. Nikitaka kjisajili watumishi portal inagoma au kwenye check number natakiwa niweke namba gan????

    ReplyDelete
  37. Nataka kupata salary slip naambiwa email address yangu haipo sasa tatizo ni nini? Wakati ndiyo naitumia siku zote .

    ReplyDelete
  38. Nimejisaji sasa kuna ujumbe ambao ulitakiwa kuingia kwenye baruapepe
    yangu ili kuhakiki lakini haujaingia naomba msaada

    ReplyDelete
  39. Nimesahau namba yangu ya siri pamoja na email naomba msaada ili nipate huduma hii

    ReplyDelete
  40. Tafadhali naomba kubadilisha email na password yangu,kwani ile niliojiregister nayo nimeisahau

    ReplyDelete
  41. Mimi niliajiriwa mwaka 2003 lakini nikakaa miaka 9 ndipo nikapandishwa daraja. na sasa mwaka 2016 nikapewa barua ya kupandishwa bahari mbaya ndipo zoezi la uhakiki likaja. mwaka 2017 Novemba nikapewa barua nyingine ya kupandishwa daraja na nikataarifiwa kuwa barua hii napandishwa cheo na kubatilisha barua ya awali ya 2016 na hivyo sistahili kulipwa malimbikizo. Lakini cha ajabu zaidi nipale amabpo toka nilipopandishwa daraja hili la 2017 novemba hadi leo mshahara haujabadilishwa na nikifuatilia naambiwa kuwa serikali inaongeza mshahara kwa awamu na hivyo ukibahatika utaongezewa nabaki naishangaa serikali kama kweli inatoa majibu haya. Lakini ikumbukwe haya ni maslahi ya mtumishi kwa mtindo huu tunakatishana tamaa. Tafadhali naomba wahusika kwakweli watulipe haki zetu ilikututia moyo. tumeambiwa mshahara hautapandishwa lakini sijasikia kauli ya kuwa waliopandishwa madaraja wasipewe haki yao. Please tusaidieni watumishi

    ReplyDelete
  42. Naitwa Meshack Kivuyo,naomba msaada wa salary sleep za mwaka huu kwani kila nikiingia kwenye akaunti yangu sipati salary sleep za mwaka huu,zipo tu za mwaka jana

    ReplyDelete
  43. Mimi naitwa Emmanuel kassian Haule,mwenye cheq no 111162149,nilijiunga na huduma hii ili niweze kupata huduma yenu,na email yangu ni ehaule712@gmail.com,lakini bahatimbaya nimesahau,password yangu,tafadhari naomba msaada wenu kunipatia password yangu,nanba yangu ya simu ni 0766239612,asante

    ReplyDelete
  44. Matatizo. Tupu salary slip portal

    ReplyDelete
  45. Mm nilikuwa ninaumwa nimepoteza kumbukumbu nimesahau email name mamba ya siri naomba usaidizi wenu namba yangu ya mshahara Ni 8162504

    ReplyDelete
  46. Nimesahau email na password naomba kubadili kwa email hii.check namba yangu ni 12079225

    ReplyDelete
  47. Nimejisajili kwa email ya deusdeditmsoka2@gmail.com nimejalibu mama kadhaa sipati majibu nambiwa invalid login attempt naomba msaada wenu

    ReplyDelete
  48. Nilijisajili utumishi portal bahati mbaya email yng haiko active kwa ssa na nmesahau nenosiri nililitumia kujisajili utumishi
    tafadhali naombeni msaada wenu ili niendelee kupata huduma
    email nilotumia kusajili ni lastbornfidwise@gmail.com
    Jina ni Fidon Fidelis Kaiza
    Check No.111699382

    ReplyDelete
  49. Nimesahau nebo LA siri naomba msaada

    ReplyDelete
  50. Fredy b senkoro check na 111260574
    Naomba kusaidiwa akaunti yangu ya salaryslip haifunguki sijui tatizo no nini

    ReplyDelete
  51. Fredy b senkoro check na 111260574
    Naomba kusaidiwa akaunti yangu ya salaryslip haifunguki sijui tatizo no nini

    ReplyDelete
  52. Nimesahau nebo LA siri naomba msaada

    ReplyDelete
  53. Habari nasikia watumishi portal kuna uwezekano wa kuomba mkopo salary adavan c nikweli?

    ReplyDelete
  54. Naomba kubadilisha password check na 111158413. Na 0625601624

    ReplyDelete
  55. naomba kubadiri password check no 111902613 simu no 0629773921.

    ReplyDelete
  56. Naomba majibu yatolewe kwa wahusika maana kama ukishasahau neno la siri mbadala uliopo haufanyi kazi ili linahitaji waendeshaji walitafutie jibu la kudumu vinginevyo watu tutaendelea kurudia swali moja hilo kila siku

    ReplyDelete
  57. naomba msaada nimesahau password.email yangu ni allymohamed10@gmail.com

    ReplyDelete
  58. Naomba msaada nimesahau email yangu na password nahitaji salaryslip

    ReplyDelete
  59. Naomba msaada nimesahau email yangu na password nahitaji salaryslip

    ReplyDelete
  60. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  61. Naomba msaada nimesahau email ya ngu na password, nahitaji salaryslip check no yangu ni 111649329

    ReplyDelete
  62. Nimesahau pasweerd naombeni mnisaidie

    ReplyDelete
  63. Naombeni ninashida ya haraka ya iyo salary slip plz nisaidieni

    ReplyDelete
  64. Mm n mwanafunzi nlie hitimu kidato cha nne mwaka jana nlikua najaza hizi selform zilizo tangazwa tatizo langu ni kuwa kwenye kipengele cha technical sijaletewa zile selection za vyuo akati mwanzo nliletewa na nikawa nmeziandka kwenye karatasi ili niangalie vyuo vizuri lkn sasa sijaletewa hivyo vyuo naomba msaada kwa hilo

    ReplyDelete
  65. Nilisahau password ya log in account yangu .naombeni msaada wenu nimewapigia cm hawapokei .

    ReplyDelete
  66. Mimi ni naitwa David Mwambe mtumishi halmashauri ya masasi mji Kama afsa tatibi msaidizi wakati naajiriwa mwaka 2013 mwezi was kumi tarehe 23 Kuna watu wainsurance NIni Tanzania nakwatwa pesa Sasa Cha ajabu hatuna mikataba Wala hatuna mwawsiliano nao ya ukaribu shida na dhumumi nikutaka kujiondoa je nifanye nn nipate stahiki yangu na kujiondoa kabisa???

    ReplyDelete
  67. Cheti cha kuzaliwa kilichohakikiwa mwaka jana kinahitaji tena kuhakikiwa mwaka huu ili nikitumie kuomba mkopo heslb?

    ReplyDelete
  68. Nina tatizo LA tarehe ya kustaafu ktk salary slip,nifanyeje?

    ReplyDelete
  69. Naomba kujua taratibu za uhamisho wa mtumishi wa Umma kutoka Wizara Moja kwenda nyingine, na kama barua ya wizara unayoenda/kuhamia imeshajibiwa kwa mwajili wako na Mwajili wako husika hakuruhusu au hakamilishi taratibu za Uhamisho, kuna taratibu zipi? za kufuata ili kukamilisha huo Uhamisho!,Naomba kusaidiwa katika hili.

    ReplyDelete
  70. Naitwa James Mwijarubi Charles cheque number 10054967 nilipandishwa Daraja kutoka D kwenda E mwezi wa tano 2019 hadi sasa 2020 mshahara wangu haujabadilika.Naambiwa bado uko pending approver hajashughulikia hapo Dodoma.Naomba nisaidiwe.Nipo Geita Mji

    ReplyDelete
  71. Naitwa sabas mbeye yasson mwenye check namba 111564165 nilisajiliwa kwenye mfumo lakini kila nikitaka kuangalia salarly slip inaniandikia login attempt failed .naomba msaada wenu. Namba hangu 0757889108.

    ReplyDelete
  72. nimesahau password yangu kuangalia salary slip. msaada tafadhali nifanyaje? namba yangu ni 0766105866

    ReplyDelete
  73. Nimesahau password katika selform nahitaji msaada ili niweze kubadili taasusi naomba msaada kwahilo

    ReplyDelete
  74. Sikuzenye tulizopewa zina karbia kuisha naombeni mnisaidie ili niweze kujaza selform kablamuda aujaisha password ndio shida

    ReplyDelete
  75. Sikuzenye tulizopewa zina karbia kuisha naombeni mnisaidie ili niweze kujaza selform kablamuda aujaisha password ndio shida

    ReplyDelete
  76. Nimesahau password katika selform nahitaji msaada ili niweze kubadili taasusi naomba msaada kwahilo

    ReplyDelete
  77. Nimesahau password katika selform nahitaji msaada ili niweze kubadili taasusi naomba msaada kwahilo

    ReplyDelete
  78. Mbona namba zenu hazipatikani hata moja..naomba namba zenu.

    ReplyDelete
  79. Hbr!Nimesahau password ili niingie watumishi portal nipate salaryslip.cheq no yangu ni 9614491 na e mail yangu ni hii theophilwilfred@gmail.com.Kama inawezekana nisaidieni paswrd au mnifutie taarifa nilizotumia katika kujisajili ili nijisajili upya.Msaada please

    ReplyDelete
  80. Naombeni msaada wa kuweza kubadili password kwani niliyoitumia simu ilipotea na pia nimesahau kabisa naomba msaada ili niweze kuendelea na huduma hii nzuri kwa email hii, mwalimu collins J Awino musoma manispaa idara ya elimu sekondari,poleni kwa usumbufu,na pia niwatakieni kazi njema

    ReplyDelete
  81. Samahani check namba yangu ni 110899125

    ReplyDelete
  82. Naombeni msaada wa kuweza kubadili password na email kwani niliyoitumia nimesahau na pia nataka kusajili upya. Idara sekondari lushoto tanga. Naomba msaada kupitia email hii ili niweze kuendelea na huduma hiyo ya salary slip maana kwa sasa nazikosa. Msaada please.

    ReplyDelete
  83. Naomba msaada/maelekezo michango yangu ya miezi mitatu (3) Oktoba hadi Desemba 2000 haikuwasilishwa PSSSF, natakiwa niwasilishe salary slip za miezi hiyo kwa mwaka huo nazipataje? cheki namba 7852219

    ReplyDelete
  84. naomba msaada kupitia e mail mboniflo05@yahoo.co.uk, c/n 7852219

    ReplyDelete
  85. Naomba msaada,nimesahau email na password niliyotumia kujiunga kwenye huduma ya salary slip.Namba za simu kwa mteja haipokelewi kila nikipiga,ofisini halmshauri pia hakuna msaada.Naomba nisaidiwe.

    ReplyDelete
  86. Msaada wenu please,nimesahau paswopas na email,

    ReplyDelete
  87. Hongereni kwa kazi za kulijenga Taifa,
    kila niki sign in salaryslip portal naambiwa invalid login attempt, nimejaribu kureset password kwa kupitia forgot password sijapata comfirmation message katika email yangu. Tafadhali naomba msaada wenu E-mail yangu ni sayuningailo90@gmail.com

    ReplyDelete
  88. Samahani nimesahau email yangu na password nilivyotumia kujisajili Utumishi portal Msaada wenu tafadhari Check no yangu ni 111631314.Phone no yangu 0625733806

    ReplyDelete
  89. Naomba nisaidiwe nilihitimu shahada ya uuguzi 2013nakuomba kufanyiwa recategorization nikiwa nimewasilisha document zote . Kinachonishangaza na kuniumiza waliohitimu nyuma yangu wamefanyiwa recategorization na kuacha wengine nikiwemo Mimi bila hilo kufanyika. Naumia kiasi siwezi elezes. Nimeikosea Nini serikali Hadi kunitenda hivi.

    ReplyDelete
  90. "Habari!naomba nisaidiwe kupata pasword nilizosahau pindi najiunga SALARY SLIP PORTAL check no yangu ni no;111726205 aidha ningependa msaada wa pasword zangu nitumiwe kupitia anuani yangu hamisimukasa708@gmail.com"

    ReplyDelete
  91. Nahitaji msaada,nimesahau Email pamoja na password niliyojisajili kupata salary slip,kwa sasa natumia email hii mpya,check no yangu ni 111202371,tafadhari naombeni nibadilishe kwa Email hii mpya nahitaji salary slip sana ninashidaaa

    ReplyDelete
  92. Nahitaji kupata salary slip lakini nashindwa kufika mwisho. Naomba msaada

    ReplyDelete
  93. nimeshau email na passoward yangu msaada ninahitaji msaada wa salaryslip jaman

    ReplyDelete
  94. Nashukuru sana kuipata hii nafasi,Mimi ni mwl Joshua Eliah Samwel nafundisha wilaya ya mkalama nilianza kazi mwaka 2012 tarehe 01 February Hadi leo sijapalipwa mishahara ya miezi ya February,Machi,April na may kisa Cha kutokunilipa au kupokea madai yangu wanasema nipeleke salary slip ya kwanza kuanza kulipwa na Mimi Sina hiyo salary slip hivyo naombeni msaada wenu nitaipataje?

    ReplyDelete
  95. Nashukuru sana kuipata hii nafasi,Mimi ni mwl Joshua Eliah Samwel nafundisha wilaya ya mkalama nilianza kazi mwaka 2012 tarehe 01 February Hadi leo sijapalipwa mishahara ya miezi ya February,Machi,April na may kisa Cha kutokunilipa au kupokea madai yangu wanasema nipeleke salary slip ya kwanza kuanza kulipwa na Mimi Sina hiyo salary slip hivyo naombeni msaada wenu nitaipataje?

    ReplyDelete
  96. Anaitwa Romana Swai ni mwalimu naomba msaada tafadhali nmesahau password ili kupata salary slip.nashukuru ntasaidika.

    ReplyDelete
  97. Jamani salary slip Leo siku ya Tatu hazipatikani kunatatizo gani ufafanuzi wahusika tafadhali

    ReplyDelete
  98. Nimesahau password nimempiga namba za dawati la msaada hazipatikani zote na nyingine hazina majibu check namba yangu 11992916 , namba yangu ya cm 0712590355 ahsante

    ReplyDelete
  99. habari za kazi .naitwa hamza ngomandodo nimejinga na utumishi ila bado sijapokea taarifa yoyote ya usajili tangu mwezi wa sita 2020 mpaka sasa. mimi ni dereva na nina vyeti ktoka NIT. NATUMAINI OMBI LANGU LITAJIBIWA KWA UHARAKA 0714758278 . ASAMTE

    ReplyDelete
  100. Naomba nisaidiwe nimesahau email na password yangu pindi nimejisajili check no 9318423

    ReplyDelete
  101. Please help me forget my password when l signed up check no 11601245

    ReplyDelete
  102. Hivi Hawa jamaa wanajibuuu au wanatuchora tu? Maana naona malalamiko tu na sioni aliyejibiwa...

    ReplyDelete
  103. kila nikiingia nakutana na ujumbe no service je huduma imesitishwa?

    ReplyDelete
  104. Naitwa innocent, nimekosea ku upload cheti na kuchagua elimu ya juu zaid ambayo sina.najaribu kufuta hakuna io option..naomba msaada ili niweze ku apply katika kazi ambazo niko na vigezo kulingana na elimu yangu,ahsante.

    ReplyDelete
  105. Nahitaji salary slip ya 2015 naomba email, au namba ya simu ya mhudumu anayetoa huduma nipo

    ReplyDelete
  106. Naomba msaada wa password yangu ya kupata salary slip

    ReplyDelete
  107. Naomba msaada nimesahau password check no.yangu 11979887

    ReplyDelete
  108. Je! Unahitaji mkopo unaofaa kwa kuridhika kwako? Tunatoa mkopo wa kiwango cha riba cha 3% kwa wakopaji wa ndani na wa kimataifa. Tumehakikishiwa, tunaaminika, tunaaminika, ufanisi, haraka na nguvu na tunashirikiana. tunatoa mkopo wa muda mrefu kwa kiwango cha juu cha miaka 2 hadi 50.

    Je! Unahitaji mkopo wa moja kwa moja, rahisi na wa bei rahisi kulipa deni yako, kuanzisha biashara au kwa sababu nyingine? Ikiwa ndivyo, tafadhali wasiliana nasi kwa mkopo.

    Ofa hii ni ya watu wazito.

    Ikiwa una nia, tafadhali wasiliana nasi kupitia: Barua pepe: bryanstefanloanfirm@gmail.com
    WhatsApp: +919654763221

    Tumethibitishwa,
    kuaminika, ufanisi, haraka na nguvu.

    Kwa dhati,
    Bryan Stefan
    bryanstefanloanfirm@gmail.com

    ReplyDelete
  109. Nashindwa kupata slip ya mwezi May 2021 .nyingine naprint Ila hii ya May inasema haijawekwa wakati wengine wamepata naomba msaada 0756211537

    ReplyDelete
  110. Nimesahau password na email niliyosajilia salary portal. Naomba kufutiwa usajili ili nisajili upya c/no 111241869 msaada

    ReplyDelete
  111. Mimi WILLIAM PATRICK MJATTA MWALIMU WILAYA YA KISARAWE nilipanda daraja 1/7/2011 katika ngazi ya mshahara TGTS E tsh 618,300/= na sikupata mabadiliko kwenye mshahara kuanzia mwezi wa saba 2011 hadi mwezi wa kwanza 2012 , na niliandika barua ya madai tarehe 3/4/2012 na sijalipwa malipo hayo hadi sasa na nikaenda ofisi za utumishi wilaya ya kisarawe wakaniambia niandike madai upya na nimeandika tarehe 20/9/2016 na hata hivyo hadi leo tarehe 26/7/2021 sijalipwa
    Pia nimepanda tena daraja 2019 mwezi 5.1 ngazi yamshahara TGTS F tsh . 1.235,000/= na mshahara ulibadilika mwezi wa kumi 2019 na niliandika barua ya maombi ya kulipwa malimbikozo tarehe 3/9/2020 hadi sasa sijalipwa .
    OFISI YA WILAYA KISARAWE INASEMA MADAI HAYO YAMESHAWASILISHWA KWENU DODOMA NA HADI SASA ZIJALIPWA STAHIKI HIZO NAOMBA MSAADA WENU KAMA MADAI YANGU YAMEFIKISHWA HAPO? NA YAPO HATUA GANI GANI.
    CHEKI NAMBA 8614704
    TSC NO M.44475
    SIMU NAMBA 0628040469
    EMAIL.williammjatta1969@gmail.com

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naomba msaada mimi jerald sichila katongo shule ya msingi nimesahau password

      Delete
    2. nitafute nikusaidie namba yangu ya whtsap ni 0769789655

      Delete
  112. Mimi Jerald sichila naomba msaada nimesahau password check namba yangu ni 111977966.

    ReplyDelete
  113. MM MWL RICHARD M. LUSWAGA NINAOMBA MSAADA NIMESAHAU PASSWORD YANGU, INANIANDIKIA INVALID LOG IN. CHECK 9613885. NISAIDIENI PASSWORD.MSAADA KIONGOZI.

    ReplyDelete
  114. Sijatumiwa ujumbe kwenye email ili niweze kuhakiki account yangu

    ReplyDelete
  115. Mimi ni mkopeshaji na mwekezaji binafsi, Je, unahitaji mkopo halali, mwaminifu, unaotambulika na wa haraka? Ninaweza kukusaidia kwa huduma ya uhakika 100%, natoa kwa makampuni na mikopo ya watu binafsi, pamoja na sisi pia tunafadhili kila aina ya miradi. Kwa habari zaidi, tembelea: jurgenstefanfinancialservice@gmail.com jurgenstefanfinancialservice@outlook.com au Whatsapp +919654763221

    ReplyDelete
  116. Do you need a quick long or short term Loan with a relatively low interest rate as low as 3%? We offer business Loan, personal Loan, home Loan, auto Loan, student Loan, debt consolidation Loan etc.. no matter your credit score.
    Personal Loans (Secure and Unsecured)
    Business Loans (Secure and Unsecured)
    Consolidation Loan and many more.

    Contact US for more information about Loan offer and we will solve your
    financial problem. contact us via email: muthooth.finance@gmail.com
    Phone number: +917428831341 (Call/What's app)

    ReplyDelete
  117. Nimesahau email na neno la siri msaada tafadhal.

    ReplyDelete
  118. nimesahau email na namba ya simu msaada tafadhar

    ReplyDelete
  119. mimi Naitwa Nickson ninajitegemea katika taasisi yangu kama umesahau passwod ya salary silp naomba unitafute kwa namba ya Whatsapp na kawaida kwa hii namba niwezee kukupa msaada 0769789655

    ReplyDelete
  120. Unatafuta kampuni halisi ya mkopo wa kifedha ili kupata mkopo wa euro 10,000 hadi euro 10,000,000 (kwa mikopo ya biashara au biashara, mikopo ya kibinafsi, mikopo ya kibinafsi, mikopo ya nyumba, mikopo ya gari, mikopo ya uimarishaji wa madeni, mikopo ya mtaji wa mradi, mikopo ya afya nk. ))Au ananyimwa mkopo kutoka benki au taasisi ya fedha kwa sababu yoyote ile?Tuma ombi sasa na upate mkopo halisi wa kifedha. Imechakatwa na kuidhinishwa ndani ya siku 3. KAMPUNI YA PACIFIC FINANCIAL MKOPO

    Sisi ni wakopeshaji wa mkopo wa kimataifa ambao hutoa fedha halisi kwa watu binafsi na makampuni kwa riba ya chini ya 2% tukiwa na kitambulisho halali au pasipoti ya kimataifa ya nchi yako ili kuthibitishwa. Malipo ya mkopo huanza saa 1 (moja) baada ya mkopo kupokelewa. na muda wa kulipa ni miaka 3 hadi 35.

    Kwa jibu la haraka na kushughulikia ombi lako la mpaka ndani ya siku 2 za kazi
    Wasiliana nasi moja kwa moja kupitia barua hii: pacififinancialloanfirm@gmail.com

    Wasiliana nasi kwa maelezo yafuatayo:

    Jina kamili: ____________________________
    Kiasi cha pesa kinachohitajika kama mkopo: _______________
    Muda wa mkopo: ___________________________________
    Madhumuni ya mkopo: ____________________
    Siku ya kuzaliwa: ___________________________________
    Jinsia: ______________________________
    Hali ya Ndoa: ___________________________________
    Anwani ya mawasiliano: ___________________________________
    Mji / Msimbo wa Eneo: ___________________________________
    Nchi: ______________________________
    Kazi: ___________________________________
    Simu ya rununu: __________________________

    Tuma ombi lako la jibu la haraka kwa: pacififinancialloanfirm@gmail.com
    asante

    Afisa Mtendaji Mkuu :Pen Fed VICTORIA JOHNSON

    ReplyDelete
  121. Nimesahau password naomba msaada niingie kwenye salary slip

    ReplyDelete
  122. Naomba msaada nimesahau email yangu na password nahitaji kupata huduma ya salary slip. C/n yangu ni 10862407

    ReplyDelete
  123. Mbona inagoma kusajili tatizo nini

    ReplyDelete

  124. Habari, Mimi mtumishi wa umma Niko halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoa wa Ruvuma ninaomba kusaidiwa kuhamia halmashauri ya wilaya Ikungi mkoa wa Singida, Mimi ninaishi na maradhi ya VVU, naomba MSAADA huo ILI NIWEZE kusaidiwa na NDUGU walio huko Singida, check no yangu ni 110946334, idara ya elimu sekondari, simu yangu ni 0682 636 883.

    ReplyDelete
  125. Nahitaji mkopo wa haraka wa Whatsapp kwa Jurgen Stefan https://wa.me/+919654763221


    Je, unahitaji mkopo wa haraka ili kulipa madeni yako au mkopo wa hisa ili kuboresha biashara yako? Je, umekataliwa na benki na mashirika mengine ya fedha? Je, unahitaji ujumuishaji wa mkopo au rehani? Usiangalie zaidi, kwa sababu tuko hapa kuweka shida zako zote za kifedha nyuma yetu. Wasiliana nasi kwa barua pepe: jurgenstefanfinancialservice@gmail.com jurgenstefanfinancialservice@outlook.com Whatsapp:+919654763221 Hawa ni Jurgen Stefan Financial Service. Tunatoa mikopo kwa wale wanaotaka kwa riba inayofaa ya 3%. Kiwango ni kuanzia €5,000,00. hadi €100,000,000.00.

    ReplyDelete
  126. Samahani nimesajili account na ineleta mesej ya activate na natumia simu, tatzo nikianza kwenye ku-log in inaniandkia incorrect log in na email na pasword ndo hzo kwa usahihi, nimejarib kufoget lakin tatz n hlohlo naomben msaaga

    ReplyDelete
  127. Je! unahitaji mkopo, mimi ni mkopeshaji wa kibinafsi, anayeaminika na anayeaminika; Ninatoa mikopo kwa wafanyabiashara na watu binafsi kwa kiwango cha chini na cha bei nafuu cha 3%. Je, unatafuta mkopo wa biashara, mkopo wa kibinafsi, mkopo wa nyumba, mkopo wa gari, mkopo wa wanafunzi, mkopo wa ujumuishaji wa deni, mkopo usio na dhamana na mtaji wa ubia? Ikiwa benki au taasisi ya kifedha imekunyima mkopo kwa sababu moja au zaidi. Uko mahali pazuri kwa maamuzi yako ya mkopo, tunatoa mikopo kutoka $ 2,000 hadi $ 50,000,000,00. kwa kipindi cha mwaka 1-20 cha ulipaji popote duniani. Barua pepe: (bryanstefanloanfirm@gmail.com) Nambari ya Whatsapp: +2348071917956 Whatsapp namba: +919654763221

    Anwani:
    Bryan Stefan

    ReplyDelete
  128. Ma u baahan tahay deyn degdeg ah? Waxaan bixinaa deyn shaqsiyeed? Amaahda Ganacsiga? Amaahda Guriga? Amaahda Beeraha? Amaahda Waxbarashada? Amaah Isku-darka Debit? Amaahda Gaariga? Amaahda baabuur? Amaahda Hoteelka? Amaahda dib-u-maalgelinta? iyo Amaah dugsi oo badan? Amaahda bilowga? Waxaan bixinaa 2% dulsaarka! Nagala soo xidhiidh: dakany.endre@gmail.com

    ReplyDelete
  129. Kuna Mwalimu mwenzangu, amejisajili ESS lkn kumbe amesahau password ya email yake. Sms ya password hatuwezi kuingia kuisoma. TUFANYEJE?

    Maana nikijaribu kumsajili kwa email nyingine, notification inasema tayari kasajiliwa

    ReplyDelete