Tuesday, February 23, 2016

UTUMISHI YAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS VERSION 9) KWA MAAFISA UTUMISHI WA WILAYA,MIKOA NA TAASISI ZA SERIKALI



Baadhi ya Maafisa Utumishi kutoka Taasisi 16 za Serikali na Halmashauri za Wilaya 6 nchini wakifuatilia mafunzo ya Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS Version 9) yaliyofanyika katika ukumbi wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) jijini Dar es Salaam.

Afisa Utumishi kutoka Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw.Philemon Mbaga akitoa mafunzo kwa maafisa utumishi kutoka Taasisi 13 za Serikali na Halmashauri za Wilaya 6 nchini katika ukumbi wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA).

No comments:

Post a Comment