Tuesday, July 14, 2015

Matukio wakati wa Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Bi.Colette Clark mjumbe kutoka Afrika Kusini akiwasilisha mada wakati wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.


Bi.Louise Shixwameni mjumbe kutoka Namibia akijibu hoja kutoka kwa wajumbe wa mkutano baada ya kutoa mada wakati wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mjasiriamali akihudumia mteja wakati wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam.

Sehemu maalum ya wajasiriamali katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) ambapo mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika.


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (kushoto) akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Prof. Joseph Semboja wakati wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment