Kaimu Katibu Mkuu Ofisi
ya Rais - Utumishi Bw. HAB Mkwizu (katikati) akizungumza na waandishi wa habari
kuhusu Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani
Afrika mwaka 2015 katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais -
Utumishi Bw. Florence Temba na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji
Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais - Utumishi Bi. Roxana Kijazi (kulia).
|
No comments:
Post a Comment