WARATIBU WA AFUA ZA VVU, UKIMWI NA MAGONJWA SUGU YASIYOAMBUKIZA WAKUTANA MBEYA
Waratibu wa Afua za Kudhibiti VVU, UKIMWI na Magonjwa Sugu Yasiyoambukiza (MSY) ngazi ya Wizara wamekutana Oktoba 20, 2026, katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kwa kikao cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027, kilicholenga kupitia na kutathmini utekelezaji wa afua hizo, kubaini hatua zilizofikiwa na changamoto zilizojitokeza, pamoja na kujadili mikakati ya kuimarisha uratibu na utekelezaji wake katika Wizara na Taasisi za Umma.
Washiriki wa kikao Waratibu wa Afua za Kudhibiti VVU, UKIMWI na Magonjwa Sugu Yasiyoambukiza (MSY) ngazi ya Wizara cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027
No comments:
Post a Comment