Kamati ya Kitaifa ya Kudhibiti VVU, UKIMWI na Magonjwa Sugu Yasiyoambukiza wameshiriki majadiliano katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika tarehe 19 Oktoba 2026, katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya. Kikao hicho kilijadili utekelezaji wa Mwongozo wa Kudhibiti VVU, UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukiza Mahali pa Kazi katika Utumishi wa Umma, pamoja na hatua za kuimarisha uratibu na utoaji wa taarifa za utekelezaji wa afua hizo.
No comments:
Post a Comment