Friday, October 16, 2026

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAIPONGEZA WAKALA YA NDEGE ZA SERIKALI (TGFA) KWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WELEDI NA UFANISI

 

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria ikiwa katika kikao na Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma kilicholenga kuwasilisha taarifa ya Utendaji wa Taasisi hiyo.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Edwin Swalle (aliyesimama) akizungumza wakati wa kikao cha Kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma.

Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa kwanza kulia) akifafanua hoja wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kuwasilisha taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali iliyopo chini ya ofisi hiyo kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Nyamizi Mhoja (kulia) akifuatilia jambo wakati wa kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma na Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma.


Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Ole Lekaita (kulia) akifuatilia jambo wakati wa kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma na Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (kulia) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Ofisi yake, Mhe. Regina Qwaray (kushoto) wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma na Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali.


Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Ndege za Serikali Capt. Budodi Nicholaus Budodi akijibu moja ya hoja iliyowasilishwa na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao cha Kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali kilichofanyika jijini Dodoma.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (aliyenyanyua mkono) akifafanua hoja wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kuwasilisha taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali iliyopo chini ya Ofisi hiyo kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma. Wengine ni Wajumbe wa Kamati hiyo na Viongozi na Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Edwin Swalle (kushoto) akisikiliza hoja zilizokuwa zikijibiwa na Viongozi na Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati wa kikao cha Kamati hiyo na Watendaji wa ofisi hiyo kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma.


Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bi. Prisca Lwangili akiwa katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kuwasilisha taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali iliyopo chini ya ofisi hiyo kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma


Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Saashisha Mafuwe akiwasilisha hoja kwa Viongozi na Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati wa kikao kilicholenga kuwasilisha taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali iliyopo chini ya ofisi hiyo kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitazama nyaraka zake kabla ya kuiwasilisha kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao cha Kamati hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali iliyopo chini ya ofisi ya Rais-UTUMISHI kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Yohana Msita akiwasilisha hoja kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Kamati hiyo na Viongozi na Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichofanyika jijini Dodoma.

Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Taasisi ya Wakala ya Ndege za Serikali kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma.







No comments:

Post a Comment