Wednesday, August 14, 2024

MAAFISA BAJETI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAPATIWA MAFUNZO YA MPANGO NA BAJETI ILI KUBORESHA UTENDAJI KAZI

Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Ufuatiliaji na Tathmini Idara ya Mipango, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Patrick Allute akisisitiza jambo wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Maafisa Bajeti wa ofisi hiyo.

Baadhi ya Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa maafisa hao yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.

Baadhi ya Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa maafisa hao yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.

Baadhi ya Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Ufuatiliaji na Tathmini Idara ya Mipango, Bw. Patrick Allute wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa maafisa hao.

Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakihakiki kazi zao  wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.

Baadhi ya Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakijadili jambo wakati wakifanya kazi za makundi kwenye Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa maafisa hao yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.

Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakihakiki kazi zao  wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.

Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakijadili jambo wakati wakifanya kazi za makundi kwenye Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa maafisa hao yaliyolenga kuboresha utendaji kazi.

No comments:

Post a Comment