Sunday, March 8, 2026

MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2026


Wanawake wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wameungana na wanawake wengine kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali Mkoa wa Dodoma kushiriki katika maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wanawake Duniani leo Tarehe 8 Machi, 2026 katika viwanja vya shule ya msingi Mbande Wilayani Kongwa yenye Kauli Mbiu isemayo “Haki na Usawa kwa Wanawake na Wasichana Msingi Jumuishi Kufikia Dira 2050
















 

No comments:

Post a Comment