Monday, March 2, 2026

KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA KUDHIBITI VVU/UKIMWI NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA MAHALI PA KAZI

Mwenyekiti wa kikao cha kamati ya Kitaifa ya kudhibiti VVU/UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukiza Bi. Leila Mavika (kulia) pamoja na Katibu wa kikao hicho Dr. Hafidh Ameir (kushoto) wakiwasikiliza wajumbe wa kamati hiyo wakati wakiwasilisha mada mbalimbali za majadiliano katika Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera

Afisa Mipango Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi. Fatuma Likusi akiwasilisha mada kwa Waratibu wa Kamati ya Kitaifa wakati wa kikao cha kamati ya Kitaifa ya kudhibiti magonjwa hayo kilichofanyika leo tatehe2 Machi, 2026 katika Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera

Washiriki wa Kikao cha Kitaifa cha kudhibiti VVU, UKIMWI na magonjwa Sugu Yasiyoambukiza (MSY) wakimsikiliza Mwenyekiti wa kikao hicho kikao hicho Bi. Leila Mavika (hayupo pichani) katika ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera
Wajumbe wa Kikao cha Kitaifa cha kudhibiti VVU, UKIMWI na magonjwa Sugu Yasiyoambukiza (MSY) wakijadili taarifa ya kipindi cha robo ya pili ya Mwaka wa fedha 2025/2026 wakati wa kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera

No comments:

Post a Comment