Tuesday, March 3, 2026

KIKAO CHA WARATIBU WA AFUA YA KUDHIBITI VVU,UKIMWI NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA (MSY) NGAZI YA WIZARA

Mwenyekiti wa kikao cha Waratibu wa Afua za kudhibiti VVU, UKIMWI na MSY Beatus Wenga (aliyekaa katikati) akiwasikiliza Waratibu hao wakati wakiwasilisha hoja mbalimbali za majadiliano leo tarehe 2 Machi, 2026 katika Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera.Kushoto ni Mwenyekiti Msaidizi wa kikao hicho Bi Rachel Maliselo Na kulia ni Katibu Bi. Linda Lusajo.

Waratibu wa Afua ya kudhibiti VVU, UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukiza (MSY) ngazi ya Wizara, wakifuatilia ufafanuzi wa jambo kwa Mwenyekiti wa kikao hicho Bw. Beatus Wenga (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika  leo tarehe 2 Machi, 2026 Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera

Meza Kuu (waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Sekretarieti baada ya kufunga Kikao cha Waratibu wa Afua ya kudhibiti VVU, UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukizwa (MSY) ngazi ya Wizara leo tarehe 4 machi, 2026 katika Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera

Wajumbe wa kikao cha Kudhibiti VVI, UKIMWI na MSY mahali pa kazi wakifuatilia Mada iliyokuwa ikiwasilishwa wakati wa kikao hicho katika Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera.

Afisa Ustawi wa jamii Mwandamizi na Mratibu wa Afua ya kudhibiti VVU/UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukizwa (MSY) Bi. Juliana Ntukey akiwasilisha mada katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera.

Meza Kuu (waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja na Waratibu wa Afua ya kudhibiti VVU, UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukizwa (MSY) ngazi ya Wizara baada ya kufunga Kikao hicho leo tarehe 4 machi, 2026 katika Ukumbi wa ELCT Bukoba  Mkoani Kagera.

Waratibu wa Afua ya kudhibiti VVU/UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukiza (MSY) ngazi ya Wizara, wakifuatilia wasilisho kutoka kwa Afisa Ustawi wa jamii Mwandamizi na Mratibu wa Afua ya kudhibiti VVU/UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukizwa (MSY) Bi. Juliana Ntukey wakati wa kikao kilichofanyika eo tarehe 2 Machi, 2026 katika Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera

Meza Kuu (waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja na Waratibu wa Afua ya kudhibiti VVU, UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukizwa (MSY) ngazi ya Wizara baada ya kufunga Kikao hicho leo tarehe 4 machi, 2026 katika Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera.

Afisa Mipango Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi. Fatuma Likusi akiwasilisha mada kwa Waratibu wa Afua ya kudhibiti VVU, UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukiza (MSY) ngazi ya Wizara leo tarehe 3 machi, 2026 katika Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera.

Waratibu wa Afua ya kudhibiti VVU/UKIMWI na Magonjwa Yasiyoambukizwa (MSY) ngazi ya Wizara, wakifuatilia ufafanuzi wa jambo kutoka kwa Mwenyekiti wa kikao hicho Bw. Beatus Weng (hayupo pichani)  kilichofanyika  leo tarehe 2 Machi, 2026  katika Ukumbi wa ELCT Bukoba Mkoani Kagera

No comments:

Post a Comment