Naibu Waziri,Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. Regina Qwaray akiteta
jambo na viongozi wa wilaya ya Karatu baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule
ya sekondari Laja ambao ni mpango uliotekelezwa na mradi wa kunusuru kaya maskini(TASAF) uliopo katika kijiji
cha Laja,Kata ya Kanse ,wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha leo tarehe 10 Januari, 2026
Naibu Waziri,Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. Regina Qwaray akisaini
kitabu cha Wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Karatu
wakati wa ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Laja uliopo katika
kijiji cha Laja,Kata ya Kanse ,wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha leo tarehe 10 Januari, 2026
Naibu Waziri,Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. Regina Qwaray akiwasili
katika wilaya ya Karatu ulipo mradi wa kunusuru kaya masikini wa ujenzi wa
shule ya sekondari Laja katika kijiji cha Laja,Kata ya Kanse , Mkoa wa Arusha
leo tarehe 10 Januari 2026
Katibu Tawala wilaya ya Karatu
Bw. Bahati Mfungo akiwatambulisha viongozi mbalimbali wa wilaya hiyo kwa Naibu
Waziri,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe.
Regina Qwaray baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Karatu kwa
ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Laja, Kata ya Kanse Mkoa
wa Arusha.
Naibu Waziri,Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. Regina Qwaray akiendelea
na ukaguzi wa maendeleo ya mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Laja ambao tayari
umeanza kutumika kwa ajili ya kuhakikisha elimu inawafikia watoto waliopo
kijijini hapo kwa maendeleo ya Taifa.
Wananchi wa Kijiji cha Laja
wakimsikiliza Naibu Waziri,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora,Mhe. Regina Qwaray (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao
baada ya kukagua mradi wa shule ya sekondari Laja leo tarehe10 Januari, 2026
Viongozi pamoja na wananchi wa
Wilaya ya Karatu wakiingozwa na Naibu Waziri,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora,Mhe. Regina Qwaray (hayupo pichani) katika ukaguzi wa
mabweni ikiwa ni sehemu ya mradi wa ujenza wa shule ya sekondari ya Laja uliopo
kijiji cha Laja , Kata ya Kanse, wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha leo tarehe 10 Januari, 2026
Timu ya Kamati ya Usalama Mkoa wa Karatu pamoja na viongozi wa Wilaya hiyo wakimpokea Naibu Waziri,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. Regina Qwaray (aliyevaa sweta la Orenji) baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Katatu wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari laja uliopo katika kijiji cha Laja, Kata ya Kanse, Mkoa wa Arusha
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. Regina Qwaray akikagua darasa mojawapo miongoni mwa yale yaliyojengwa kupitia Mradi wa TASAF
wa ujenzi wa shule ya sekondari Laja leo tarehe 10 Januari, 2026 uliopo katika kijiji
cha Laja, Kata ya Kanse, Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. Regina Qwaray akisaini
kitabu cha Wageni baada ya kukagua Mradi wa TASAF wa ujenzi wa shule ya sekondari
Laja leo tarehe 10 Januari, 2026 uliopo katika kijiji cha Laja, Kata ya Kanse, Wilaya
ya Karatu, Mkoa wa Arusha.
Naibu Waziri,Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. Regina Qwaray (wa pili kushoto)
akiendelea na ukaguzi wa mradi wa shule ya sekondari Laja ambao ni mpango wa
kunusuru kaya maskini katika kijiji cha laja kilichopo Kata ya Kanse, Wilaya ya
Kataru mkoani Arusha.



No comments:
Post a Comment