Monday, January 19, 2026

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAPOKEA TAARIFA YA MUUNDO, MGAWANYO WA MAJUKUMU, SHERIA NA SERA ZINAZOSIMAMIWA NA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA TAASISI ZAKE

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (aliyekaa meza kuu kulia) akiongoza kikao cha Kamati yake na Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwasilisha kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi ya Rais-UTUMISHI katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma.


Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Timida Fyandomo (Aliyenyanyua mikono) akichangia hoja kuhusu masuala ya ajira wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (kulia) akizungumza jambo na Naibu Waziri wake Mhe. Regina Qwaray wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (kushoto) akifuatilia taarifa iliyokuwa ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Kamati hiyo na Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Taasisi zake kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (kulia) akijadili jambo na Naibu Waziri wake Mhe. Regina Qwaray (katikati) na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi akifafanua baadhi ya hoja zilizokuwa zimewasilishwa na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao cha Kamati hiyo na Ofisi ya Rais-UTUMISHI kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Nyamizi Munya (katikati) akichangia hoja kuhusu masuala ya ajira kwa walemavu wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na na Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Wakurugenzi wa Idara na Vitengo wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakiwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Yahaya Nawanda (aliyenyanyua mikono) akichangia hoja wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na na Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi (wa tatu kutoka kushoto) akiwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma. Wengine ni Sehemu ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akifafanua jambo wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kiliholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na   Wakurugenzi wa Idara na Vitengo wa ofisi hiyo wakiwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Wakurugenzi wa Idara na Vitengo kutoka Ofisi ya Rais-UTUIMISHI na Utawalka Bora wakiwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Viongozi wa Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo wakiwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.




Wakurugenzi wa Idara na Vitengo kutoka Ofisi ya Rais-UTUIMISHI na Utawalka Bora wakiwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.


Wakurugenzi wa Idara na Vitengo kutoka Ofisi ya Rais-UTUIMISHI na Utawalka Bora wakiwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.





No comments:

Post a Comment