Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiongoza kikao cha Kamati yake
na
Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo
chini ya ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria
zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.
Sehemu ya Wajumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakiwa
katika kikao cha Kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya
Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya
ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha
taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo
jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa
Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi ya Rais-IKULU kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba
na Sheria katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitazama nyaraka zake kabla ya kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi ya Rais-IKULU kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma. Kulia kwake ni Naibu Waziri wake Mhe. Regina Qwaray.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi (kulia) akizungumza
jambo na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Xavier
Daudi wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba
na Sheria na Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi
hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria
zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Mahendeka akifafanua jambo
wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba
na Sheria na Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi
hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria
zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Sehemu ya
Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais-IKULU, wakimsikiliza Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (hayupo pichani) wakati
akiongoza kikao cha Kamati yake na Watendaji wa ofisi hiyo kilicholenga
kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na
ofisi hiyo.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge
ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Saashisha Mafuwe (Aliyenyanyua mikono) akichangia hoja kuhusu masuala ya ajira wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Utawala, Katiba na Sheria na Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo
chini ya ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo,
Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Katibu
Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Mahendeka (wa kwanza kulia), Katibu Mkuu-UTUMISHI, Bw.
Juma Mkomi (katikati) na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala
Bora, Bw. Xavier Daudi wakiwa katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge
ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kuwasilisha taarifa
za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya
Rais-IKULU.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Regina Qwaray akijitambulisha kwa Wajumbe wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao cha Kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya
Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga
kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na
ofisi hiyo.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Oscar Kilayo (Aliyenyanyua mikono) akichangia hoja kuhusu masuala ya TASAF wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya
ofisi hiyo wakiwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba
na Sheria kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa
Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo. Wengine ni Wajumbe wa Kamati
hiyo.
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo na Watendaji
wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga
kuwasilisha kwa Kamati hiyo taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria
zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Sehemu ya Wakurugenzi na Maafisa wa Ofisi ya Rais-IKULU na Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha Kamati yake na Watendaji wa ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Sehemu ya Wakurugenzi na Maafisa wa Ofisi ya Rais-IKULU na Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha Kamati yake na Watendaji wa ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Sehemu ya Wakurugenzi na Maafisa wa Ofisi ya Rais-IKULU na Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha Kamati yake na Watendaji wa ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Sehemu ya
Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais-IKULU, wakimsikiliza Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (hayupo pichani) wakati
akiongoza kikao cha Kamati yake na Watendaji wa ofisi hiyo kilicholenga
kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na
ofisi hiyo.

No comments:
Post a Comment