Friday, January 16, 2026

MHE. KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA TAARIFA ZA MUUNDO NA MAJUKUMU YA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA NA TAASISI ZILIZOPO CHINI YA OFISI HIYO ITAKAYOWASILISHWA KWENYE VIKAO VYA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi wa ofisi hiyo wakati wa kikao kazi cha kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 


Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakiwa kwenye kikao kazi cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete kilicholenga kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Mhe. Regina Qwaray akitoa maelezo ya awali kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete kuzungumza na Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi wa ofisi hiyo kwenye kikao kazi cha kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 


Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Mahendeka akifafanua jambo wakati wa kikao kazi cha kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akifurahia jambo wakati wa kikao kazi cha Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi wa ofisi hiyo wakati wa kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 


Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akiwasilisha moja ya taarifa wakati wa kikao kazi cha kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 

Wakurugenzi wa Idara na Vitengo kutoka ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa kwenye kikao kazi cha kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi wa ofisi hiyo wakati wa kikao kazi cha kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 



 


Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Mick Kiliba akiwasilisha taarifa ya taasisi anayoisimamia kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 

Wakurugenzi wa Idara na Vitengo kutoka ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa kwenye kikao kazi cha kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 


Sehemu ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakimsikiliza Waziri wa Ofisi hiyo Mhe. Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao kazi chake kilicholenga kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akifuatilia moja ya taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Mhe. Regina Qwaray.


Sehemu ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakimsikiliza Waziri wa Ofisi hiyo Mhe. Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao kazi cha kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 

 

Sehemu ya Maafisa wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakimsikiliza Waziri wa Ofisi hiyo Mhe. Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao kazi cha kuandaa taarifa ya Muundo na Majukumu itakayowasilishwa kwenye vikao vya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma. 





No comments:

Post a Comment