Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Regina Ndege Qwaray kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino-Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino-Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.


No comments:
Post a Comment