HABARI KATIKA PICHA
Mwonekano wa jengo la mradi wa makazi ya Watumishi wa
Umma lililopo katika Kijiji cha Kijiweni, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi.
Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments ikitoka kukagua na kufanya tathmini
ya mwisho ya kukamilika kwa mradi
wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma katika
Kijiji cha Kijiweni,
Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi.
Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments ikikagua na kufanya tathmini ya
mwisho ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma katika Kijiji cha Kijiweni, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi.
Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Wizara ya Fedha na Watumishi Housing Investments wakiwa
katika picha ya pamoja na Walimu wa Shule ya Msingi Kijiweni mara baada ya
kukagua na kufanya tathmini
ya mwisho ya kukamilika kwa mradi
wa ujenzi wa makazi ya Watumishi wa Umma katika
Kijiji cha Kijiweni, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, mkoani Lindi. Wengine
ni wataalam wa ujenzi kutoka WHI.
Mwonekano wa nyuma wa jengo la mradi wa makazi ya
Watumishi wa Umma lililopo katika Kijiji cha Kijiweni, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi.
Mwonekano wa jiko na vyoo vilivyopo katika jengo la
mradi wa makazi ya Watumishi wa Umma lililopo katika Kijiji cha Kijiweni,
Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi.



No comments:
Post a Comment