Na Antonia Mbwambo-Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ametoa wito kwa Menejimenti na Watumishi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa kuendelea kukusanya taarifa, kumbukumbu, nyaraka na machapisho mbalimbali yanayohusu historia ya nchi yetu na waasisi wa Taifa letu ili kutoa taswira ya nchi yetu kwa vizazi vijavyo.
“Niwapongeze
kwa kazi nzuri mnayofanya ya kukusanya kumbukumbu na nyaraka, ninyi ni kiungo
muhimu sana katika historia ya nchi yetu, tuna kazi kubwa ya kutunza kumbukumbu
na kuweka nyaraka sawa. Historia ya Tanzania yetu iko chini ya Idara hii, jambo
kubwa na la msingi ni kuhakikisha kazi hii inafanyika kwa ufanisi. Mimi na
mwenzangu Naibu Waziri pamoja na watendaji wa Ofisi yetu tuko tayari kuwapa
ushirikiano, ili tutekeleze vizuri majukumu yaliyoainishwa katika muundo wa
taasisi hii,” ameongeza Mhe. Kikwete.
“Nimejifunza mambo mengi, nimepata darasa la kutosha sikujua kama kuna mambo mengi hapa kabla ya sisi kuzaliwa,” Mhe. Qwaray ameongeza
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Menejimenti na Watumishi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa
baada ya kuwasili katika Ofisi hiyo katika wa ziara yake ya kikazi
Ofisi ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa leo
tarehe 25 Novemba, 2025 jijini Dodoma
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Ridhiwani Kikwete akisaini kitabu cha wageni baada ya
kuwasili Ofisi ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa katika ziara yake ya kikazi Taifa leo tarehe 25 Novemba, 2025 jijini Dodoma
Menejimenti na watumishi wa Ofisi ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi katika Ofisi hiyo leo tarehe 25 Novemba, 2025 jijini Dodoma
Mkurugenzi
Mkuu Ofisi ya Rais, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za
Taifa Bw. Firimin Msiangi akifafanua (wa kwanza kushoto) jambo kabla ya
wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete pamoja na Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Mhe.
Regina Qwaray wakipewa maelezo ya namna historia ya nchi na tamaduni mbalimbali
za kitanzania zinavyotunzwa tangu wakati wa ukoloni katika wa ziara yao ya
kikazi Ofisi ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa leo
tarehe 25 Novemba, 2025 jijini Dodoma
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Ridhiwani Kikwete akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Idara ya Kumbukumbu na
Nyaraka za Taifa (hawapo pichani) wakati
wa ziara
yake ya kikazi katika Ofisi
hiyo leo tarehe 25 Novemba, 2025 jijini Dodoma.Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mhe. Regina Qwaray akitoa neno kabla ya
kumkaribisha Waziri wa ofisi hiyo Mhe. Ridhiwani Kikwete
kuzungumza na Menejimenti na Watumishi wa Idara
ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa wakati wa ziara ya kikazi ya
viongozi hao katika Ofisi hiyo leo tarehe 25 Novemba,2025 jijini Dodoma.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Ridhiwani Kikwete (wa pili kushoto) pamoja na Naibu Waziri wa
Ofisi hiyo, Mhe. Regina Qwaray (wa kwanza kulia) wakipewa maelezo ya namna historia ya nchi na tamaduni mbalimbali za kitanzania
zinavyotunzwa tangu wakati wa ukoloni wakati wa ziara yao ya kikazi Ofisi ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa leo tarehe 25 Novemba, 2025 jijini Dodoma
Afisa
Kumbukumbu, Idara ya Kumbukumbu na
Nyaraka za Taifa, Bi Neema Makuni akiwaelezea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete pamoja na viongozi wengine aliofwatana
nao (hawapo kwenye picha) namna historia ya nchi na tamaduni mbalimbali za
kitanzania zinavyotunzwa tangu wakati wa ukoloni wakati wa ziara yao ya kikazi
Ofisi ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa leo
tarehe 25 Novemba, 2025 jijini Dodoma
Menejimenti na watumishi, Ofisi ya Idara ya Kumbukumbu na
Nyaraka za Taifa,
wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) akizungumza nao wakati wa
ziara yake ya kikazi katika Ofisi hiyo leo tarehe 25 Novemba, 2025 jijini
Dodoma
Mkurugenzi Mkuu, Ofisi ya Rais, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za
Taifa, Bw. Firimin Msiangi akitoa maneno ya utangulizi kabla ya
kumkaribisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe. Regina Qwaray ili amkaribishe Waziri wa Ofisi hiyo Mhe.
Ridhiwani Kikwete azungumze katika ziara yake ya kikazi katika Ofisi hiyo leo
tarehe 25 Novemba, 2025 jijini Dodoma
Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Regina Qwaray akiwaelezea Waziri wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Menejimenti na
watumishi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa uzoefu wake kwa baadhi ya
tamaduni za sehemu ya makabila wakati wa
ziara yao ya kikazi Ofisi ya Idara ya Kumbukumbu na
Nyaraka za Taifa leo tarehe 25 Novemba, 2025 jijini Dodoma
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Regina Qwaray akisaini kitabu cha wageni baada
ya kuwasili Ofisi ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa katika ziara yake ya kikazi
Taifa leo tarehe 25 Novemba, 2025 jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment