Menejimenti na Watumishi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, tunakupongeza Mhe. Regina Ndege Qwaray kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
No comments:
Post a Comment