Mwenyekiti
wa kikao kazi cha kutambua
changamoto za utekelezaji wa Sheria ya Utumishi wa Umma ambaye ni Mkuu wa Idara
ya Utumishi na Utawala kutoka halmashauri ya wilaya ya Ludewa Bw. Oscar Semtengu
akitoa neno la shukrani baada ya kumalizika kwa kikao hicho kilichofanyika katika
ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Sehemu ya washiriki wa kikao kazi kilicholenga Kutambua
changamoto za utekelezaji wa Sheria ya Utumishi ya Umma na kanuni zake wakifuatilia mada mbalimbali
zilizikuwa zikitolewa wakati wa majadiliano ya kikao hicho katika Ofisi ya Mkuu
wa Mkoa wa Iringa kilichofanyika tarehe 27&28 Novemba,2025 katika Ofisi ya
Mkuu wa Mkoa Iringa.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala wa Usimamizi wa Utumishi wa Umma Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi Verediana Ngahega akitoa maelekezo mafupi juu ya ushughulikiaji wa Uhamisho (E transfer), Upandishwaji Vyeo na Ubadilishwaji Kada katika Utumishi wa Umma wakati wa Kikao kazi cha kutambua changamoto za utekelezaji wa Sheria ya Utumishi wa Umma kilichofanyika Mkoani Iringa tarehe 27&28 Novemba,2025.
Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini Ofisi ya Rais Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Juma Senzota akitoa maelezo mafupi kuhusu
ushughulikiaji wa Malimbikizo ya Mishahara kwa watumishi wa Umma waliopandishwa
Vyeo, waliofukuzwa kazi na kurejeshwa katika Utumishi wa Umma na Mamlaka zao za
Rufaa katika Kikao kazi cha kutambua changamoto za
utekelezaji wa Sheria ya Utumishi wa Umma kilichofanyika Mkoani Iringa tarehe
27&28 Novemba,2025.
Sehemu
ya Wakurugenzi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora pamoja na
viongozi mbalimbali wakifuatilia mada mbabalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wawezeshajiwakati wa Kikao kazi cha kutambua changamoto za utekelezaji
wa Sheria ya Utumishi wa Umma kilichofanyika tarehe 27&28 Novemba,2025 katika
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.
Mshiriki
wa kikao kazi cha Maafisa Sheria na Maafisa Utumishi ambaye ni Meneja anayesimamia
mafao Mfuko wa Mafao wa PSSF Bw. James Oigo akiwasilisha mada ihusuyo ushughulikiaji
na ulipaji wa mafao kwa Watumishi wa Umma baada ya kustaafu wakati wa Kikao kazi
cha kutambua changamoto za utekelezaji wa Sheria ya Utumishi wa Umma kilichofanyika
tarehe 27&28 Novemba,2025 katika Ofisi ya Mkuu
wa Mkoa Iringa.
Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Maadili Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Felista Shuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa Sheria na Maafisa Utumishi wakati wa Kikao kazi cha kutambua changamoto za utekelezaji wa Sheria ya Utumishi wa Umma kilichofanyika tarehe 27&28 Novemba,2025 katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.
Mkurugenzi
Idara ya Usimamizi wa Maadili Ofisi ya
Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Felista
Shuli akitoa neno la kufunga
kikao kazi cha Kutambua changamoto
za utekelezaji wa Sheria ya Utumishi wa Umma na kanuni zake kwa niaba ya Katibu Mkuu wa
Ofisi hiyo Bw Juma Mkomi kilichofanyika Mkoani Iringa tarehe 27&28 Novemba ,2025.
Mgeni
Rasmi ambaye ni Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Maadili Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Felista Shuli akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa Sheria na Maafisa Utumishi wakati wa Kikao kazi cha kutambua changamoto za utekelezaji
wa Sheria ya Utumishi wa Umma kilichofanyika tarehe 27&28 Novemba,2025 katika
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi Hilda Kabissa akifafanua jambo kwa Maafisa Sheria na Maafisa Utumishi wakati wakijadili mada mbalimbali katika Kikao kazi cha kutambua changamoto za utekelezaji wa Sheria ya Utumishi wa Umma kilichofanyika tarehe 27&28 Novemba,2025 katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.
Mgeni
Rasmi ambaye ni Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Maadili Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Felista Shuli akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa Sheria na Maafisa Utumishi wakati wa Kikao kazi cha kutambua changamoto za utekelezaji
wa Sheria ya Utumishi wa Umma kilichofanyika tarehe 27&28 Novemba,2025 katika
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.
Mshiriki wa kikao kazi cha Maafisa Sheria na Maafisa Utumishi ambaye ni Afisa Mafao Mwandamizi Bw. Emmanuel Kalumuna kutoka Mfuko wa Mafao wa NSSF akiwasilisha mada ihusuyo ushughulikiaji na ulipaji wa mafao kwa Watumishi wa Umma baada ya kustaafu wakati wa Kikao kazi cha kutambua changamoto za utekelezaji wa Sheria ya Utumishi wa Umma kilichofanyika tarehe 27&28 Novemba,2025 katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa
No comments:
Post a Comment