Monday, November 17, 2025

Menejimenti na Watumishi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, tunakupongeza Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora


 

No comments:

Post a Comment