Thursday, August 27, 2015
Wednesday, August 19, 2015
Mkutano wa mwaka wa Serikali Mtandao wafunguliwa rasmi jijini Arusha
| Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akifungua mkutano wa kwanza wa Serikali Mtandao kwa Watendaji Wakuu na Viongozi wa Serikali, Arusha. |
| Sehemu ya washiriki wa mkutano wakimsikiliza mgeni rasmi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (hayupo pichani). |
| Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu akimkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano. |
Thursday, August 13, 2015
Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi lafanyika
| Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam. |
| Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam. |
Subscribe to:
Posts (Atom)


