Saturday, June 20, 2026

WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YAIBUA FURSA ZA MABORESHO KATIKA UTOAJI WA HUDUMA

Matukio katika picha yakionesha Wananchi wakipatiwa Huduma na Wataalamu kutoka Wizara, Taasisi na Mashirika mbalimbali katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma.

Aidha Wananchi wamepata fursa ya kupata huduma za papo kwa papo na kutoa maoni yao kwa Wizara na Taasisi hizo yatakayoboresha utoaji wa huduma



















No comments:

Post a Comment