Tuesday, June 2, 2026

KIKAO KAZI CHA WAKUU WA IDARA NA VITENGO VYA UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALIWATU KATIKA WIZARA NA IDARA ZINAZOJITEGEMEA, WAKALA WA SERIKALI, TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA, SEKRETARIETI ZA MIKOA NA MAMLAKA YA SERIKALI ZA MTAA

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Juma Mkomi akizungumza katika kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Wizara na Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Taasisi na Mashirika ya Umma, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mtaa, leo Juni 2, 2026 jijini Dodoma.

Kikao kazi hicho cha siku tatu, kimefunguliwa Juni mosi, 2026 na Waziri wa Nchi Ofisi hiyo Mhe. Ridhiwani Kikwete na kinatarajiwa kufungwa kesho na Naibu Waziri Ofisi ya Rais UTUMISHI Mhe. Regina Qwaray (Mb).

Aidha, kauli mbiu ya kikao kazi hicho ni “Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma Sikivu, Jumuishi, Wenye Matokeo na Uwajibikaji kuelekea Dira 2050”.



Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi, akizungumza na Wakuu wa Idara na vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wakati alipokuwa akiongoza majadiliano na watumishi hao katika kikao kazi kilichofanyika Jijini Dodoma.

Washiriki wa kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wawezeshaji kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala katika ukumbi wa Mabele Hall Jijini Dodoma.


Katibu Mkuu-UTUMISHI Bw. Juma Mkomi, akifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wawezeshaji katika kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu katika ukumbi wa Mabele Hall jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma, SACP. Ibrahim Mahumi na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Xavier Daudi wa Ofisi hiyo.


Mkurugenzi wa Mipango kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Cosmas Ngangaji (kulia) akifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wawezeshaji wakati wa Kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini Bw. Hamis Mkunga Mkunga akiwasilisha mada  kuhusu Usimamizi wa rasilimaliwatu na usafishaji wa taarifa za kiutumishi na mishahara wakati wa kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais – UTUMISHI, Bi Leila Mavika  akiwasilisha mada kuhusu Uratibu wa Ajira za Wtanzania  katika mashirika ya Kikanda na Kimataifa wakati wa kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu Jijini Dodoma

Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Bw. Kadari Singo akiwasilisha mada kwa Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu katika kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa Mabele Hall jijini Dodoma


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bw. Sospeter Mtwale akitoa wito kwa Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu katika Wizara na Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Taasisi na Mashirika ya Umma, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mtaa kuhusu uzingatiaji wa   maadili katika Utumishi wa umma tarehe 2 Juni, 2026 ikiwa ni siku ya pili ya kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Mabele hall jijini Dodoma



Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania TFRA Bi. Victoria Elangwa akitoa maelezo ya jambo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu tarehe 2 Juni, 2026 ikiwa ni siku ya pili kati ya tatu zilizopangwa kikao hicho kufanyika Jijini Dodoma


Washiriki kutoka Sekretarieti Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wawezeshaji wakati wa Kikao kazi
cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu Jijini Dodoma.

Baadhi ya Wakurugenzi wasaidizi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora wakifuatilia mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wawezeshaji wakati wa Kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu tarehe 2 Juni, 2026 Jijini Dodoma




Baadhi ya Wakurugenzi wasaidizi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora wakifuatilia mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wawezeshaji wakati wa Kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu tarehe 2 Juni, 2026 Jijini Dodoma
 

Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI, wakifuatilia maelezo ya Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo wakati alipokuwa akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu tarehe 2 Juni, 2026 Jijini Dodoma.



Washiriki kutoka Sekretarieti Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wawezeshaji wakati wa Kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu Jijini Dodoma.


Mkurugenzi wa TEHAMA Serikalini, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Priscus Kiwango, akiwasilisha mada kuhusu maboresho mbalimbali ya mifumo ambayo yamefanywa na Ofisi hiyo wakati wa kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu Jijini Dodoma


Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora wakifuatilia mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wawezeshaji wakati wa Kikao kazi cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa rasilimaliwatu tarehe 2 Juni, 2026 Jijini Dodoma]

No comments:

Post a Comment