Friday, June 19, 2026

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026

 

Matukio mbalimbali ya picha yakionesha muendelezo wa utoaji wa Huduma kwa wananchi katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, yaliyoanza tarehe16 Juni, 2026 na yanayotarajiwa kuhitimishwa tarehe 23 Juni, 2026  ambapo wananchi wameendelea kupata huduma, elimu na taarifa mbalimbali kutoka kwa Wataalamu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika viwanja vya chinangali Park Jijini Dodoma.



















No comments:

Post a Comment