Sunday, June 28, 2026

TIMU YA WATAALAMU OFISI YA RAIS - UTUMISHI NA WATUMISHI HOUSING INVESTMENTS (WHI) YAFANYA UKAGUZI WA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUANGWA NA MASASI.

Timu ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Watumishi Housing Investments (WHI) ipo katika ziara ya kukagua miradi ya ujenzi wa nyumba za Watumishi ambapo leo tarehe 28 Juni, 2026 imekagua maendeleo ya mradi wa Ujenzi wa nyumba ya Watumishi 6:1 katika Shule ya Sekondari Samia Suluhu Hassan - Ruangwa, pamoja na mradi wa Ujenzi wa Nyumba ya Watumishi 3:1 katika Kituo cha Afya Mtandi , Masasi-Mtwara

Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Watumishi Housing Investments (WHI) ikijadili jambo, mara baada ya kukagua maendeleo ya mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Mtandi , Masasi-Mtwara Juni 28, 2026

Muonekano wa mbele wa jengo la mradi wa makazi ya Watumishi wa Umma shule ya sekondari Samia Suluhu Hassan katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi

Muonekano wa mbele wa jengo la mradi wa makazi ya Watumishi wa Umma shule ya sekondari Samia Suluhu Hassan katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi

Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Watumishi Housing Investments ikiongozwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Patrick Allute ikikagua mradi wa maendeleo wa Ujenzi wa nyumba ya Watumishi 6:1 katika Shule ya Sekondari Samia Suluhu Hassan Wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi

Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora na Watumishi Housing Investments (WHI) ikijadili jambo, mara baada ya kukagua maendeleo ya mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Mtandi , Masasi-Mtwara Juni 28, 2026

Muonekano wa mbele wa jengo la mradi wa makazi ya Watumishi wa Umma
katika Kituo cha Afya Mtandi -Mtwara

Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Watumishi Housing Investments (WHI) na baadhi ya Watumishi wa Kituo cha Afya Mtandi –Mtwara, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya timu hiyo kukagua maendeleo ya mradi wa makazi ya Watumishi wa Kituo hicho Juni 28, 2026

No comments:

Post a Comment