Monday, June 15, 2026

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Wakurugenzi na Maafisa kutoka Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakitoa elimu kwa wananchi kuhusu huduma zinazotolewa na Ofisi hiyo wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo Juni 16, 2026 Chinangali Jijini Dodoma.

Aidha miongoni mwa Huduma zinazotolewa ni pamoja na elimu ya Mifumo ya e-Wekeza, GSP, e-Huduma, e-Mkopo, e-Msawazo, Gazeti la Serikali, e-Mrejesho, e-Utendaji, e-Watumishi, e-Likizo na e-Ajira.



 







No comments:

Post a Comment