Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akifungua mkutano wa kwanza wa Serikali Mtandao kwa Watendaji Wakuu na Viongozi wa Serikali, Arusha. |
Sehemu ya washiriki wa mkutano wakimsikiliza mgeni rasmi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (hayupo pichani). |
Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu akimkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano. |
No comments:
Post a Comment