Wednesday, October 9, 2019

TAASISI ZA UMMA ZAPIGWA MARUFUKU KUTUMIA KAMPUNI BINAFSI KATIKA MASUALA YA TEHAMA NA BADALA YAKE ZITUMIE MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo wakati wa kikao kazi chake na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao wilayani humo. 

Baadhi ya watumishi wa umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha waziri huyo na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao wilayani humo. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akifafanua masuala ya kiutumishi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi chake na watumishi hao kilichofanyika wilayani humo kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji. 

No comments:

Post a Comment