Tuesday, October 8, 2019

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI ZA KINIDHAMU WATUMISHI WATAKAOBAINIKA KUJIHUSISHA NA RUSHWA YA NGONO




Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na watumishi wa umma wilayani Tunduru wakati wa kikao kazi chake na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika wilayani humo jana. 

Baadhi ya watumishi wa umma wilayani Tunduru  wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha waziri huyo na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika wilayani humo jana. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akifafanua hoja za watumishi wa umma wilayani Tunduru (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi chake na watumishi hao kilichofanyika wilayani humo jana kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji. 

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mhe. Julius Mtatiro akimshukuru Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) kwa kuitembelea wilaya yake na kufanya kikao kazi na watumishi wa wilaya hiyo jana kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji. 

Watumishi wa umma wilayani Tunduru wakiwa katika kikao kazi na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao kilichofanyika wilayani humo jana. 



No comments:

Post a Comment