Tuesday, March 8, 2022

WATUMISHI WANAWAKE WA OFISI YA RAIS - UTUMISHI WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WILAYANI CHEMBA JIJINI DODOMA

 



Baadhi ya Watumishi wa Umma Wanawake wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kimkoa leo Machi 8, 2022 jijini Dodoma.

Baadhi ya Watumishi wa Umma Wanawake wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika Maandamano ya Siku ya Wanawake Duniani kimkoa yaliyofanyika leo Machi 8, 2022 Wilaya ya Chemba Jijini Dodoma.  



No comments:

Post a Comment