Friday, March 18, 2022

UTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2021/22 NA MAKADIRIO YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2022/23

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka 2021/22 na Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2022/23 kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa TUGHE, tawi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Kamugisha Lufulenge.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi yake cha kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka 2021/22 na Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2022/23 kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro afuatilia taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka 2021/22 na Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2022/23 wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha Ofisi yake kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Katibu wa TUGHE, tawi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Rocky Setembo.

Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakifurahia jambo wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo cha kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka 2021/22 na Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2022/23 kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.


Mkurugenzi wa Mipango, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Cosmas Ngangaji akifafanua jambo kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka 2021/22 na Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2022/23 wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa TUGHE, tawi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Kamugisha Lufulenge akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha kujadili taarifa ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2021/22 na Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2022/23 wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.


 

No comments:

Post a Comment