Saturday, February 2, 2019

DKT. MWANJELWA AWAONGOZA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUPANDA MITI ILI KUTEKELEZA KWA VITENDO KAMPENI YA MAKAMU WA RAIS YA KULIFANYA JIJI LA DODOMA KUWA KIJANI


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akipanda mti katika eneo la ofisi yake inayojengwa kwenye mji wa Serikali Ihumwa, jijini Dodoma.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa akitoa maelekezo kwa Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Mick Kiliba wakati wa zoezi la upandaji miti katika eneo la ofisi yake inayojengwa kwenye mji wa Serikali  Ihumwa jijini Dodoma.

Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Mick Kiliba akiandaa eneo kwa ajili ya kupanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora inayojengwa kwenye mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment