Monday, February 18, 2019

DKT. MWANJELWA AMUONYA MWEKA HAZINA WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KOROGWE KWA UTENDAJI USIORIDHISHA



Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Halmashauri ya Mji wa Korogwe, wakati wa kikao kazi na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao kabla ya  kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF Halmashauri hizo.  

Baadhi ya watumishi wa umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Halmashauri ya Mji ya Korogwe wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) (hayupo pichani), wakati wa kikao kazi chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao.  

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akiteta jambo na Katibu Tawala Mkoa wa Tanga, Bi. Zena Said, kabla ya kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Halmashauri ya Mji ya Korogwe kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao kabla ya  kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF Halmashauri hizo. 
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akisisitiza uadilifu kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Halmashauri ya Mji ya Korogwe wakati wa kikao kazi chenye lengo la  kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao, kabla kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF katika Halmashauri hizo. 

No comments:

Post a Comment