Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi (wa kwanza kushoto) akizungumza wakati wa kikao kilicholenga kuimarisha ushirikiano katika Sekta ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kati ya ofisi hiyo na Afisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora (SMZ) kilichofanyika jijini Dodoma.
Wakurugenzi kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Afisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora (SMZ)
wakiwa kwenye kikao kilicholenga kuimarisha
ushirikiano katika Sekta ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa ofisi hizo
mbili kilichofanyika jijini Dodoma.
Katibu Mkuu, Afisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora (SMZ),
Bi. Mansoura Kassim (kulia) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI,
Bw. Juma Mkomi (kushoto) wakati wa kikao kilicholenga kuimarisha
ushirikiano katika Sekta ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa ofisi hizo
mbili kilichofanyika jijini Dodoma.
Sehemu ya Wakurugenzi kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakifuatilia kikao
kilicholenga kuimarisha ushirikiano
katika Sekta ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kati ya ofisi hiyo na Afisi ya
Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora (SMZ) kilichofanyika jijini
Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Utumishi na
Utawala Bora, Afisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora (SMZ), Bw. Omar Gora (wa kwanza kushoto) akiwasilisha hoja kuhusu ajira
wakati wa kikao kilicholenga kuimarisha ushirikiano
katika Sekta ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kati ya ofisi hiyo na Ofisi ya
Rais-UTUMISHI kilichofanyika jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera, Ofisi ya Rais-UTUMISHI,
Bw. Cyrus Kapinga (aliyesimama) akisoma taarifa ya kikao cha wataalam kuhusu
Sekta ya Watumishi wa Umma na Utawala Bora wakati wa kikao kilicholenga
kuimarisha ushirikiano katika masuala ya kiutumishi kati ya ofisi hiyo na Afisi
ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora (SMZ) kilichofanyika jijini
Dodoma.
Wakurugenzi kutoka Afisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora (SMZ) wakifuatilia kikao kilicholenga kuimarisha ushirikiano katika Sekta ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kati ya ofisi hiyo na Ofisi ya Rais-UTUMISHI kilichofanyika jijini Dodoma.
Wakurugenzi Wasaidizi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakifuatilia kikao kilicholenga kuimarisha ushirikiano katika Sekta ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kati ya ofisi hiyo na Afisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora (SMZ) kilichofanyika jijini Dodoma.
Wakurugenzi
kutoka Afisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na
Utawala Bora (SMZ) wakifuatilia kikao kilicholenga
kuimarisha ushirikiano katika Sekta ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kati ya
ofisi hiyo na Ofisi ya Rais-UTUMISHI kilichofanyika
jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment