Wednesday, December 8, 2021

UTUMISHI YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU KIMKOA YALIYOFANYIKA WILAYANI KONGWA



Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Antony Mtaka akizungumza na Watumishi wa Umma na Wananchi wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru yaliyofanyika kimkoa Wilayani Kongwa.

Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Antony Mtaka (Hayupo Pichani) wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyofanyika kimkoa Wilayani Kongwa.

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika picha ya pamoja baada ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru yaliyofanyika kimkoa Wilayani Kongwa.





No comments:

Post a Comment