Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabiri Bakari akiwasilisha
taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi yake kwa Naibu Waziri, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi
(hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Ndejembi aliyoifanya leo katika
Mamlaka hiyo Jijini Dodoma kwa lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka
hiyo na kuhimiza uwajibikaji.
Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Deogratius Ndejembi akifuatilia historia ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)
iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka hiyo, Dkt. Jabiri Bakari wakati wa ziara yake ya kikazi yenye
lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka hiyo na kuhimiza uwajibikaji.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabiri Bakari akimwonyesha Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Deogratius Ndejembi kitabu chenye taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka
yake wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Ndejembi aliyoifanya katika Mamlaka hiyo
Jijini Dodoma kwa lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka hiyo na kuhimiza
uwajibikaji.
Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka ya
Serikali Mtandao (eGA) wakati wa ziara yake ya kikazi Jijini Dodoma yenye
lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka hiyo na kuhimiza uwajibikaji.
No comments:
Post a Comment