Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na
Watumishi wa Mpango wa Kurasimisha Biashara na Rasilimali za Wanyonge
Tanzania (MKURABITA) Jijini Dodoma wakati wa
ziara yake ya kikazi yenye lengo la kufahamiana na watumishi wa Taasisi
hiyo na kuhimiza uwajibikaji.
Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Deogratius Ndejembi akisisitiza jambo kwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha
Biashara na Rasilimali za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Dkt. Seraphia Mgembe Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kikazi yenye
lengo la kufahamiana na watumishi wa Taasisi hiyo na kuhimiza uwajibikaji.
Baadhi
ya Watumishi wa Mpango wa Kurasimisha Biashara na Rasilimali
za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wakimsikiliza
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe.
Ndejembi katika taasisi hiyo leo Jijini Dodoma yenye lengo la kufahamiana na
watumishi hao na kuhimiza uwajibikaji.
No comments:
Post a Comment