Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kukutana na Watumishi wa Umma
mkoani Kagera, Jumatatu tarehe 22 Agusti 2016.
Pichani: Mhe.
Kairuki (kushoto) akipokewa na baadhi ya watendaji Mkoani Kagera,
katikati ni Katibu Tawala -Mkoa wa Kagera Bw. Amantius Msole. |
No comments:
Post a Comment