Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Mifumo na Viwango vya Utendaji Kazi kutoka Ofisi ya Rais - Utumishi, Bi. Veila Shoo akifafanua jambo wakati akiwasilisha mada kwenye Mafunzo ya Kanzi data ya Fomu za Serikali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki
wa Mafunzo ya Kanzi data ya Fomu za Serikali kutoka wizara mbalimbali,
wakimsikiliza muwasilishaji mada (hayupo pichani) kwenye mafunzo hayo.
|
No comments:
Post a Comment