Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipitia hoja ya mmoja wa washiriki wa kikao kazi mkoani Kagera |
Ufafanuzi wa hoja na kero mbalimbali mkoani Kagera ukitolewa na watalaam wakati wa kikao kazi |
Bw. Welanika Sylivester akiwasilisha tatizo kuhusu kutopandishwa cheo kwa muda mrefu |
Flora Kaigi akiwasilisha hoja kuhusu utaratibu wa kupandishwa daraja |
Mmoja kati ya washiriki akiwasilisha hoja kuhusu walimu |
No comments:
Post a Comment