|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akisisitiza jambo kwa watumishi wa ofisi yake wakati wa kikao kazi cha
robo mwaka cha waziri huyo na watumishi wa ofisi yake kilichofanyika Utumishi
leo.
|
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akizungumza na watumishi wa ofisi yake wakati wa kikao kazi cha robo mwaka
cha waziri huyo na watumishi wa ofisi yake kilichofanyika Utumishi leo. Kushoto
kwake ni Mwenyekiti wa TUGHE tawi la Utumishi Bw. Kamugisha Rufulenge.
|
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –
Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya
Rais-Utumishi (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha robo mwaka cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb)
na watumishi wa ofisi yake kilichofanyika Utumishi leo. Kulia ni Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na
Usimamizi wa Rasilimaliwatu Bw. Aloyce Msigwa.
|
Watumishi wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo
pichani) wakati wa kikao kazi cha robo mwaka cha waziri huyo na watumishi wa
ofisi yake kilichofanyika Utumishi leo.
|
|
Mkurugenzi wa Idara ya
Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Bw. Aloyce Msigwa (kushoto) akitoa
ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi wakati wa kikao kazi cha robo mwaka cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb)
(kulia) na watumishi wa ofisi yake kilichofanyika Utumishi leo.Katikati ni
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akisikiliza kwa
makini.
|
|
Mtumishi wa Ofisi ya
Rais-Utumishi Bw. Victor Kitu (aliyesimama) akiwasilisha malalalamiko yake kwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha robo
mwaka cha waziri huyo na watumishi wa ofisi yake kilichofanyika Utumishi leo.
|
No comments:
Post a Comment