|
Mkuu
wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu (kushoto)
akiwasilisha taarifa ya Mkoa wake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki
(kulia).
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) (kushoto) akitoa maelekezo kwa uongozi wa Mkoa wa Kagera ikiwemo
kusafisha taarifa za watumishi mara baada ya Mkuu
wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu (kulia) kuwasilisha
taarifa ya Mkoa wake.
|
Baadhi ya Watumishi wa Umma wa Mkoa wa Kagera
wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao
kazi cha waziri huyo na watumishi hao kilichofanyika Mkoani Kagera. |
|
Mmoja wa watumishi wa Umma wa Mkoa wa Kagera akiwasilisha malalamiko yake
kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao
kazi cha waziri huyo na watumishi hao kilichofanyika Mkoani Kagera.
|
No comments:
Post a Comment