Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto)
akifafanua jambo kuhusu maboresho katika Utumishi wa Umma alipokutana na ujumbe
kutoka Benki ya Dunia (WB) kwenye ukumbi wa Ofisi ya Rais Utumishi leo mchana. Wa
kwanza kulia ni Meneja Mtendaji wa Sekta ya Umma kutoka Benki hiyo, Bw. George
Larhi na katikati ni Mkurugenzi wa Utumishi wa Umma na Taasisi wa WB.
|
No comments:
Post a Comment